hizi ni picha za matukio yanayoendelea katika kuandaa shughuli hiyo.
Kim kardashian na kanye west leo ndo siku ya wawili hao kufanya ile party ya mkesha wa harusi yao.kanye west (36) na kim(33) wanatarajia kufunga ndoa hapo kesho mjini paris huko ufaransa na kuelekea italiy jiji la forence.wageni waalikwa ni watu 3000.hii ni riport maalumu.best man atakuwa jay z na mkewe beyonce a.k.a beey..
Comments
Post a Comment