Kyln ambae ni mke wa tajiri regnald mengi amemtumia mumewe huyo ujumbe mzito katika siku yake ya kuzaliwa ambayo ilikuwa jana tar 29.Ameweka picha hii na kufatia ujumbe huu....
"wishing my love,best friend,father of my kids and the most wonderful human being i know Reg,a very Happy Birthday with all my love"
Hotmixmziray inakutakia maisha marefu na yenye baraka
Comments
Post a Comment