Mcheza kikapu maarufu hashem thabeet ambae ni mtanzania anaechezea timu ya thunder huko hokiahoma amepata mchumba ambae ni modo akitokea jiji la las vegas nchini marekani.hasheem na mchumbaake huyo aitwae bee anderson alias love queen bee wamebahatika kupata mtoto wa kiume wiki sita zilizopita.
Comments
Post a Comment