HARUSI YA KANYE WEST NA KIM KUFANYIKA ITALY



muimbaji kanye west na mama watoto wake kim kardashian wameamua kufanya harusi yao italia na si ufaransa tena.wageni wote wafikia paris kwa ajili ya mkesho wa party hiyo na kesho kusafiri na ndege binafsi kwenda italia.

Comments