Tukio hili limetokea katika jimbo la benue ambapo warembo hao walipigana kisa kikidaiwaiwa ni sugar dad lakini mmoja wa mashuhuda anasema walipigana hadi kufikia mmoja kumchana viwembe mwenzie kisa kamtukana maake kuwa ni kahaba.
kwa mashuhuda waliona tukio hilo waliamua kumvua msichana alimchana mwenzio na wembe na kumbakiza uchi wa mnya tena mchana kweupe.na walipoulizwa walisema hiyo ndo adhabu mpya ya kila mwanamke anaekosea kama kwa kuiba,kugombana,au anapokosa adabu na si kuwapeleka kituoni.
Comments
Post a Comment