DIAMOND KUFANYA KOLABBO JINGINE .... on May 30, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Msanii diamond platinumz ambae mkali wa ngoma my number one ambae wiki iliopita alitoka kufanya shoo marekani.amepost picha akiwa na msanii mkubwa wa nchini nigeria wakiwa ghana ambapo wanategemea kufanya kazi pamoja. Comments
Comments
Post a Comment