Msanii mwingine kwenye tasnia ya filamu rachel haule amefariki leo alfajiri katika hospitali ya muhimbili wakati alipoakuwa anajifungua,kwa bahati mbaya alifariki mtoto na baada ya muda alifuata mamayake ambaye ni recho.mungu ametoa na mungu ametwaa.r.i.p rachel haule
Comments
Post a Comment