Msanii adam philip kuambiana na mtayarishaji wa filamu amefariki dunia alfajiri ya kuamkia leo(17).kwa muujibu wa global publish wamesema adam amefariki dunia akiwa njiani kuelekea hospital kwa mamangoma iliopo mwenge jijini dar es salaam baada ya kudondoka chooni akiwa location katika hotel ya silver rado maeneo ya sinza kwa remmy.
kabla ya umauti ujamkuta marehemu alikuwa analalamika tumbo linamsumbua.
Tunawapa pole wasanii wa bongo muvi,ndugu na jamaa kwa pigo hili kubwa.mungu ametoa na mungu ametwaa.
Comments
Post a Comment