WEMA SEPETU ASHINDA KESI ILIYOKUWA IKIMKABILI................





Add caption
Msanii na mmliki wa kampuni ta endless fame ameshinda kesi yake ya kumpiga na kumtukana meneja wa hotel ya merditeranian iliopo kawe beach baada ya kulipa laki moja na kuepuka kufungwa miezi mitatu

Comments