NIMEGUNDUA MAPENZI NI SUMU KALI KATIKA MAISHA......................JOHARI



Msanii johari aliamua kukiri na kusema mapenzi kwake ni machungu tena kwa kuwa alikuwa ajiongoozi aliongea hayo baada ya kugombana na msanii mwenzake chuchu hans kwa kugombea penzi la ray(vicent kigosi) na kuwapelekea wasanii hao kuingia katika bifu zito sana.na hapo aliamini mapenzi yanaumiza sana

Comments