MUIGIZAJI WA MAREKANI AFARIKI DUNIA



Muigizaji maarufu nchini marekani amefariki dunia leo asubui paul walker kwa ajali mbaya ya gari alikuwepo,ambapo alikuwa yeye na rafiki yake ambapo alikuwa anaelekea kutoa mchango wa mfyko wa reach out worldwide.r.i.p paul walker

Comments