KERRY LOWRAND AENDA UWANJA WA FISI..........




Mwanamziki kelly rowland aliamua kutembelea tena uwanja wa fisi jijini dar-es-salam baada ya kusikia tabia ile mbaya ya kujiuza,uvutaji na utumiaji wa madawa ya kulevya umezidi sana eneo hilokelly ni mwanamuziki kutoka marekani pia ni miongoni wa wasisii wa ukimwi duniani.

Comments