Hii ndiyo ndege iliyobeba kombe la dunia(pichani)inaitwa mc donnell douglas md-83 inayozunguka na kombe la dunia nchi mbalimbali ikiwemo tanzania.ndege hiyo ikiwa iko uwanja wa ndege jijini dar es salaam.ndege hiyo ikitokea nairobi kenya kuja tanzania.
kulia ni msanii kutoka nchini brazili david correy na dj wake wakati wa safari kutoka nchini kenya kuja tanzania.
Comments
Post a Comment