HAWA NI BAADHI WAPIGA VYOMBO MAARUFU TANZANIA NZIMA KAMA ULIKUWA UWAJUI TAZAMA.........






Hawa ni baadhi ya wapiga vyombo wa bendi tofauti ambao wana majina makubwa sana tanzania na nje ya nchi ambao wengi wao ni wakongo akiwemo issa gagareh,bath batista,shemesha,mcd,na kilonzo wanajua kumiliki jukwaa na kulitendea haki

Comments