DIAMOND PLATINUMZ NA PENNY KUSHINEY...WABWAGANA,WEMA AWA CHAZO.......

 HII NDO STORY YA MUJINI PENNY AJIENGEUA KWA DIAMOND KISA WEMA SEPETU
Yale mapenzi ya penny na diamond ile sukari ya warembo wamemwagana rasmi na huku kila mtu akiwa anafanya yake.chanzo cha habari kilisema wawili hao wamemwagana na sababu ikiwa kila mtu kujiona yuko juu zaidi ya mwingine.huku wema sepetu akihusishwa

mrembo na mmiliki wa endless fame wema sepetu amuhusishwa katika kuvunjika kwa mapenzi ya penny na diamond,ambae amekuwa akitajwa mara kwa mara akiwa na diamond huku diamond akiwa na penny.

blog yetu iliamua kumuuliza mama mzazi wa diamond ambapo alijibu kuwa yeye ajui chochote kuhusu kuvunjika kwa penzi hilo.katika kumbukumbu zetu diamond arikaliliwa akisema katika chombo cha habari kuwa hana mpango wa kuoa kwa sasa na si yoyote kati ya wanawake alionao.

Comments