BOB JUNIOR KUFANYA SHOO YA KUFA MTU ZANZIBAR.....................
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Msanii raheem a.k.a bob junior (rais wa masharobaro)atafanya shoo katika club ya gymkana huko zanzibar kwa kiingilio cha elfu7000/=ambapo atasindikizwa na t.i.d,bonge la nyau,tox star,udeude na wengine kibao.kwa wale wakazi wa zenji inawahusu sana
Comments
Post a Comment