BAADA YA UVUMI WA KUVUJA KWA PICHA ZA CHUMBANI ZA MSANII WA BONGO MOVIE "RAYUU"AKIWA NA NJEMBA "TAZAMA YALIYOJILI"
picha ya rayuu
Baada ya kusambaa kwa picha za msanii wa filamu nchini, rayuu na njemba ambaye jina halikufahamika kwa haraka,wanahabari wetu wameweza kuendelea na uchunguzi na kubaini jina la njemba huyo kuwa na "KHALFANI ABBUBAKARI" ambaye ni msanii mpya katika tasnia ya filamu nchini anyekamilisha taratibu za filamu yake inayoingia sokoni hivi karibuni.
picha za njemba huyo,Khalfan Abbubakari
Wanahabari wetu walijaribu kufuatilia uhusiano wa wasanii hao ukoje zaidi ukilinganisha na picha zao zilizozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini,hawakuweza kupata jibu la ukaribu wa khalfani na rayuu.kutokana na kutofanikiwa kuwapata wasanii hao.utata ulikuwepo zaidi baada wa rafiki wa karibu wa mwanadada machachali wa filamu nchini kuzungumza"Rayuu kafanya nini cha ajabu?",pia akasisitiza kuwa"endapo Rayuu anatoka na msanii huyo mpya,Khalfani Abbubakari ni poa sana kwa kuwa ni mwanaume mwenye muonekano mzuri anayeridhisha kutoka nae popote sio kama mastaa wengine wanawatu mpaka aibu kumuweka hadharani.
picha ya Rayuu akiwa na Khalfani Abbubakari
Chanzo kilipotaka kujua kama shost huyo kuleta lolote kwa mrembo huyo, hakikupata ushirikiano wa kutosha zaidi ya hayo tutaendelea kuwatafuta wahusika.

Comments
Post a Comment