Rais wa zamani wa afrika ya kusini nelson mandela afariki dunia hapo jana kwa kusumbuliwa na maradhi ya mda mrefu,katika kumbukumbu zetu rais huyo alisaidia ubaguzi wa rangi kuisha nchini kwake,na kuna miaka ya nyuma sana alifungwa jela kwa muda wa miaka 27 na mkewe winnie mandela,r.i.p mandela
Comments
Post a Comment