WOLPER:ADATE NA ALIKIBA,DIAMOND NA JUX

Jackline wolper:akiri alikiba ndie aliye mfundisha mapenzi.,jux ni mwanaume aliyempenda sana huku akimalizia na diamond kuwa ni mwanaume aliyekuwa alali bila kumuona..........



msanii jackline wolper anasema alikiba ni mwanaume pekee aliyemfundisha mapenzi,kabla yeye ajatoka.ila aliamua kumwacha kwasababu alipokuwa nje wanawake wengi walikuwa wanamshobokea sana,hivyo aliogopa karaha.akiongeza anasema hata akikutana nae wanasalimiana vizuri bila tabu yoyote.


Mwanaume wake wa pili ni jux ambae ni mwanaume aliyempenda sana.kuliko wote na sasa hayuko nae,anasema mwanaume huyo ni mtafutaji na koungeza kuwa dallas alichangia yeye kumwagana na jux


Wa tatu ni diamond platinumz ambaye huyu alikuwa halali bila kuniona,pia alikuwa ni mfanyabiasha mwenzangu.ila nilidumu nae kwa mwezi tu.na sasa ni marafiki tu.




Comments