bendi ya akudo impact wazee wa masuti watakuwa tanga andeni ccm hall wakiwapa raha wale wapenzi wao na kuimba nyimbo zao mpya kama penzi lako limezidi asali.chini ya rais wa bendi hiyo tarsis masela.kwa wale wakazi wa tanga mnaombwa kufika kwa wingi.
Comments
Post a Comment