Msanii mkubwa wa muziki wa bongofleva nchini."TOXSTAR" kwasasa yupo kwenye pilikapilika za kushoot video ya wimbo wake mpya uitwao"TUKUTANE KITAANI",aliomshirikisha raisi wa masharobaro nchini BOB JUNIOR na imerekodiwa katika studio za sharobaro jijini Dar es salaam chini ya mtu mzima Bob junior
KAA TAYARI KUIPOKEA
Comments
Post a Comment