TAZAMA UKATILI HUKO INDIA:BOSS AMBAKA MFANYA KAZI WAKE BAADA YA KUMBANIA PENZ KWA MUDA MREFU......FUATILIA KISA HICHO!!!!!!!
Engineer wa zamanni wa software mwenye umri wa miaka 22 ametiwa mbaroni baada ya kufanya mapenzi na mfanyakazi wake kwa nguvu.
Kshitiz Garg ambaye aliwekwa chini ya ulinzi Siku ya Jumapili, Kamanda mkuu wa polisi alisema, Kutokana na malalamiko ya dada aliyefanyiwa kitendo hicho cha ukatili ni kwamba baada ya kuombwa penzi na Boss wake aligoma, Mr Garg alivyoona mrembo anakuwa mgumu kukubali akatumia kigezo cha kumuahidi kumuowa lakini bado binti akakomaa..! Hapo ndipo Jamaa uzalendo ulipomshinda na kuamua kumbaka. Aliendelea kusema kamanda wa polisi kwamba Iliripotiwa mnamo tarehe 14 mwezi wa tisa ndio Siku ya tukio na tukio hilo lilifanyikia katika moja ya Hotel kubwa huko India,
Hivyo binti huyo aliwahishwa Hospitali kwa vipimo zaidi kama aliambukizwa maradhi au laa..! kwa bahati nzuri hakukutwa na maradhi yeyote. Kshitiz Garg yupo mikononi mwa polisi endelea kufuatilia taarifa zaidi hapa.
Comments
Post a Comment