Muigizaji wa kike maarufu wa jina la Irene Uwoya ametoa kali ya mwaka baada ya kujichora tatoo makalioni na kiunoni na kisha kujipiga picha na kuitupia mtandaoni.....
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Uwoya alizitundika picha hizo na kuwaacha mashabiki wake watiririke kwa maoni na mapendekezo kuona kama amependeza au hajapendeza..

Comments
Post a Comment