SKENDO YATAKA KUMVA WEMA SEPETU A.K.A BEATIFUL ONYINYE




Msanii wa bongo muvi na mmiliki wa kampuni ya endeless fame.alikuwa miss tanzania mwaka 2006.amenusurika kuingia katika kashfa nzito baada ya director wake kutumia magari ya mrembo huyo
vibaya na kuyageuza gesti .director huyo anaitwa chid ambapo wema aliamua kumfikuza ili heshima na sifa yake isishuke...........

Comments