SHILOLE:SUMA MNAZALETI ANATAFUTA KIKI KUPITIA JINA LANGU.....



mwanadada shilole a.k.a shishi bby amesema kuwa suma mnazaleti anatafuta kiki kupitia jina lake katika wimbo wake aliouachia hivi karibuni unaoitwa umechelewa ambao kamshirikisha richard.hii ndo sehemu katika wimbo huo inayoleta utata baina ya mastaa hao'eti umeenda marekani soon utafanya nyimbo mpya na jlo kwa muziki gani wewe umechelewa.

shilole aliongeza akasema suma ni kijana mdogo na anataka umaarufu kuitia watu maarufu kama yeye,na sitomjibu kitu mimi.huyo ni shilole a.k.a shishi bby


Comments