NI MWAKA MMOJA TOKA MSANII HUYU MAARUFU ATUTOKEA.HEBU CHEKI HAPO CHINI




Marehemu sharomilionea leo hii ametimiza mwaka mmoja toka alipofariki mwaka jana tarehe 26 mwezi wa kumi na kwa ajari mbaya ya gari alilokuwa anaendesha aina ya harrier.ambapo alipatia ajari muheza hapapo hapakuwa mbali na nyumbani kwao ambapo alikuwa anaenda kumtembelea mamayake.R.I.P SHAROMILIONEA

Comments