MTOTO WA KOCHA SYLLERSAID MZIRAY AINGIA KATIKA TASNIA YA MZIKI


mtoto wa marehemu kocha syllersaid mziray anaeitwa robert mziray(bobsyller) ameamua kuingia katika tasnia ya mzikidogo huyo anafanya nyimbo zake kwa kazi records.na nyimbo hzo zitaachiwa katika blog hii soon..tukumbukumbe kuwa marehemu syllersaid mziray alikuwa kocha wa simba mpaka anakufa.


huyu ni marehemu syllersaid mziray akiwa na kitime enzi za uhai wake.

Comments

Post a Comment