msanii huyu wa komedi hapa nchini alipata mfuenzi wa kufa mtu huko tanga ambapo chanzo kikiwa ni ulevi wa kupindukia na kuanzisha ugomvi mara kwa mara anapokuwa amelewa huku akivurumisha mitusi mikubwa.na anapoambiwa akiwa ajalewa huwa mbishi sana.ulevi nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.pombe si chai.
hivyo ni vidonda baada ya kupewa kichapo
Comments
Post a Comment