MSANII ABDUKIBA AAMUA KUACHIA NGOMA MPYA CHINI YA MAZUU RECODS



Msanii abdukiba ameamua kuachia nyimbo yake mya inayoitwa kabibi anayofanya chini ya mazuu recods.ambapo alikuwa anaifanyia mix hapo jana kwa mazuu recods,ambapo alisindikwa na wasanii wengi kama rich mavoko na wengine wengi..............kaeni mkao wa kula kwa nyimbo mpya hiyo nomaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaa

Comments