MAGAZETI YA UDAKU YAZIDI KUMUANDAMA MSANII HUYU



Msanii bob junior rais wa masharaboro amezidi kuchukiza na mtindo wa magazeti ya udaku a.k.a umbea kuendelea kumchafua.akizungumza na blog hii bob junior ameechukizwa sana na tabia ya waandishi wa habari kuandika habari bila uhakika na kuendelea kumchafua kila kukicha kitu ambacho kinamuumiza sana yeye pamoja na familia yake kama unavyoona pichani.jamani magazeti acheni kuandika habari kuhusu mimi kwanini msiniulize ndo muandike kweli mnaniudhi sana.alimalizia kwa kusema hivyo,.vyombo vya habari kuweni makini tusiiwaaribie kazi wasanii wetu

Comments