KITALE AAMUA KUMUACHIA MAMAYAKE UJUMBE,BAADA YA KUONA YALIYOMKUTA SHARO MILIONEA

KITALE:nimejifunza mengi kwenye msiba wa sharo milionea,hivyo nimeamua kumwachia mamayangu ujumbe...............




msanii kitale ambae ni rafiki mkubwa wa marehemu sharo milionea.ambae yuko tanga kwa ajili ya shughuli ya kumwombea dua rafiki yake kipenzi sharo milionea.kupitia mtandao huu kitale alisema kupitia msiba wa rafiki yake amejifunza vitu vingi ambapo ameweza kujua marafiki wema na wabaya,aliendelea kusema kajifunza mengi si kwa sharo tu hata kwa kanumba na sajuki.na ameamua kumwachia mamayake ujumbe ili hata likitokea hayupo yasije tokea kama kwa wenzie.hata hivyo kitale alikataa kueleza ni nini alichomwambia mamayake na familia na kusema hiyo ni siri yake na familia.
Kitale awashauri wasanii wenzie kumkumbuka mungu katika kazi zao,kwani wengi wao wamemuhasi mungu na kuwafanya watu wadhani wasanii kuwa ni mafreemason..............

Comments