JE WAJUA JINA JIPYA ANALOJIITA DIAMOND.CHEKI HAPA....................


Msanii mwenye jina kubwa kwenye gemu ya muziki diamond platinumz a.k.a sukari ya warembo ameamua kujiita domo hii inatokana na kuchoshwa na kashfa baada ya watu kumwita domo badala ya nasibu au diamond.hivyo aliamua kujiita jina hilo katika mtandao wa instagram.....................

Comments