Skip to main content
INASITISHA ......IZZO BIZNESS ALIZWA "MBEYA"
Rapper Izzo Bizness asubuhi ya leo ametoa taarifakuwa internet cafe yake iliyopo Mbeya eneo la chuo cha TEKU imevunjwa na wezi na computer sita zimeibiwa. Ameomba raia wa Mbeya kutoa taarifa wanaposikia mtu anauza computer pasipo njia halali. Soma Hapa Alichoandika Izzo B. #PoleBro
Comments
Post a Comment