HII NI BEHIND THE SCENCE YA INTERVIEW YA BOB JUNIOR






Msanii bob junior a.k.a mr chocolat rais wa masharabaro.ameachia wimbo wa bashasha aliomshirikisha mwanadada vanessa mdee a.k.a  bby v.ambapo nyimbo hyo imekuwa gumzo sana hapa nchini,na wimbo huo utafanyiwa video nchini kenya chini ya ogopa videos.kwa wale fans wa bob junior kaeni mkao wa kula.............

Comments