HEMED PHD KUFUNGA MWAKA NA VIDEO YAKE MPYA YA 'ONE N ONLY'




Msanii hemed suleiman phd ambae pia ni muigizaji ataachia video ya nyimbo yake mpya ya 'one n only' ataiachia mwisho wa mwaka december .nyimbo hiyo imetengenezwa chini ya sei records.katika nyimbo hiyo amemshirikisha bella combo...........

Comments