DIAMOND AWATAJA WAREMBO WANNE ALIODETI NAO





diamond hawataja wanawake zake wanne tu kati ya wale haliowai kudeti nao toka ajawa star mpaka kuwa star,wa kwanza alimta sarah sadick wa pili akiwa hawa wa nitarejea(yuko pichani)wa tatu akiwa wema sepetu a.k.a beatiful onyinye wa tz na wanne akiwa penny.ila ataja sifa za mwanamke anmbae atakuwa mkewe ambazo ni kumpenda pasipo kujari yeye ni nani,na awe radhi kuishi na mamayake alimaarufu kwa jina la sandra.....

Comments