Msanii asieishiwa vituko chriss brown ameomba aletewe bangi akiwa ndani ya rehab,na baada ya kunyimwa alisema daktari wake amemuandikia ili akili yake ikae sawa.anatakiwa akae ndani ya rehab kwa siku 90 ili kupunguza tatizo lake la hasira.ambapo awali alikaa kwa siku 16 lakini alifukuzwa baada kuiponda jiwe gari ya mama yake....kazi ipo kwa brown

Comments
Post a Comment