BARACK OBAMA AMEMFOLLOW MSANII HUYU KWENYE TWITTER




Rais huyu wa dunia Barack Obama amemfollow msanii wa bongo yaani tanzania vanessa mdee na hii ni kwa mara ya kwanza.Vanessa anauweza wa kumuinibox rais huyo kupitia akaunti yake ya twitter.Vanessa amekuwa ni miongoni mwa watu laki sita ambao rais huyo anawafollow.



Comments