msanii baby madaha anasema anakubalika zaidi nchi kenya alikoweka makazi yake kwa sasa.na ambako anafanya shughuli zake za kimuziki nchini humo chini ya campuni ya candy na huko ndo anakokubalika zaidi kuliko hapa bongo,mrembo sasa anasifika kwa kibao chake cha summer hollday,na amefurahishwa na kitendo hicho cha kukubalika ghafra nchini humo.

Comments
Post a Comment