Ajari yatokea kibaha kwa matiasi leo asubuhi,ambapo lori hilo liliacha njia na kuelekea kwenye makazi ya watu wanaoishi maeneo hayo.hakuna mtu aliyefariki wala majeruhi;katika hali ya kushangaza watoto walikuwa wanacheza bila kujari kama lori hilo linaweza kuwarudhuru.
Comments
Post a Comment