Picha: Spika wa Bunge apata ugeni kutoka DCB


Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na ugeni kutoka Benki ya Biashara ya ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo, Prof. Lucia Msambichaka (wa kwanza kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Comments