Simba Queens yachapa mtu 7-0


Ligi Kuu ya Wanawake imeendelea tena leo ambao timu ya  Simba Queens imeishushi kichapo cha 7-0 Evergreen Queens. Chini ni Matokeo ya mchezo wa leo na Ratiba ya michezo ya kesho ligi kuu soka wanawake.



Comments