Samatta sasa anamfukuzia Lionel Messi, yupo sawa na Mbappe

Image result for picha ya lionel messiImage result for picha ya mbwana samatta
Moja kati ya post zilizosambaa katika mitandao kwa haraka zaidi ni post ya mchambuzi wa habari za michezo Edo Kumwembe kuhusiana na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea club ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji Mbwana Samatta.


Inawezekana ni watu wengi hawafahamu hii kuwa katika wachezaji wanaocheza soka Ulaya katika mashindano tofauti tofauti msimu huu, Mbwana Samatta ni miongoni mwa wachezaji wanaoongoza kwa ufungaji magoli mengi, Samatta amefunga jumla ya magoli 29 sawa na Kyliane Mbappe wa PSG.

Players with the most goals in all European competitions⚽:

🇦🇷 Messi – 33
🇹🇿 Samatta – 29
🇫🇷 Mbappé – 29
🇵🇱 Lewandowski – 27
🇵🇱 Piatek – 26
🇷🇸 Tadic – 25
🇦🇷 Aguero – 25
🇳🇱 Luuk De Jong – 24
🇮🇱 Dabbur – 24
🇵🇹 Bruno Fernandes – 23
🇺🇾 Cavani – 22
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Kane – 22
🇫🇷 Ben Yedder – 22
🇵🇹 Cristiano Ronaldo – 21

Comments