Naomba ufikishe ujumbe wangu kwa Rais Putin - Rais Magufuli


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Mjumbe wa Rais wa Urusi, mjumbe huyo ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov.



Comments