Diamond Platnumz alivyomchezesha mchezaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba, wimbo wa Tetema kwenye Birthday yake

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Platnumz akiwa chini Ufaransa ameweza kufanya tukio kubwa sana la Kuperfom wimbo wa TETEMA kwenye birthday ya aliyewahi kuwa mchezaji wa Chelsea Didier Drogba



Comments