Picha,Neyo ametangaza rasmi kuacha kuvaa kofia muda wote…..


R&B star Ne-Yo ameacha kuvaa kofia muda wote kama ilivyokuwa tabia yake na muonekano wake ulivyozoeleka.
Toka kuchukua umaarufu mwaka 2005, Neyo amekuwa akivaa kofia kwenye maonyesho ya muziki, shughuli za watu maarufu, filamu na kwenye video za muziki wake, ila hiv karibuni staa huyu wa rnb aliweka pembeni kofia hio.
Neyo anasema Nilianza kupoteza nywele nikiwa na miaka 11, 12, 13, na hapo ndipo shule iliporuhusu nivae kofia sababu nilitaniwa sana kuwa ninakipara, nimeiva kwa muda mrefu sana kiasi cha kujisikia mtupu nikiwa sijaiva, ila kwa sasa naiweka pembeni.
“Nilijiambia mwaka 2017, ni mwaka wa mapenzi , kujiamini na kuishi kama nilivyona kujipenda….”
 

Comments