WATU 24 WAFARIKI KATIKA AJALI MTITO ANDEI KENYA

Ajali
Basi hilo lilikuwa linaelekea Mombasa ajali ilipotokea

Watu 24 wamefariki na wengine kadha kujeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa manane katika barabara kuu ya kutoka Nairobi kwenda Mombasa.
Ajali hiyo iliyohusisha basi la kubeba abiria na lori la kusafirisha mafuta ghafi ya kupitia ilitokea katika eneo la Kambu, karibu na Mtito Andei.
Mkuu wa polisi wa eneo la Kibwezi Leonard Kimaiyo ameambia BBC kuwa watu 23 walifariki papo hapo na wmwingine mmoja akafariki akitibiwa hospitalini.
Watu 20 walipata majeraha

Comments