WOLPER AMBWAGA HARMONIZE KUPITIA PAGE YAKE YA INSTAGRAM

Wasahau tena Jacqueline Wolper na Harmonize aka ‘WoHa’ama vyovyote ulivyokuwa ukiwaita pamoja. Ni kwasababu Wolper amembwaga rasmi hitmaker huyo wa Bado tena kupitia Instagram.Hata hivyo post hiyo haikuweza kukaa kwa muda mrefu – imefutwa, japo wapo waliowahi kuinasa mapema.
Image result for WOLPER AMBWAGA HARMONIZE INSTAGRAM
Kwenye post hiyo iliyokuwa na picha ya Harmonize pamoja na emoji za alama ya kopa iliyopasuka, Wolper ameandika: Nina akili timamu me syo mtoto mdogo, endelea na maisha yako it over waambie rasmi usifiche @harmonize_tz i hate love.”



Looks like Harmonize kauvunja moyo wa Wolper kiasi cha kuamua kuyachukia mapenzi kiasi hicho!

Comments