NUH MZIWANDA SITUMII MAKOSA YANGU KAMA KUPATA KIKI

Tokeo la picha la nuh mziwanda picha 
Msanii Nuh Mziwanda ambaye usiku wa 14 August 2015 alitamblisha wimbo wake mpya na video ya Hadithi amesema mambo madogo anayofanya kwenye maisha yake hukuswa na kuwa kiki, ila sio mpango wake.


Nuh anasema ” Naweza kukosea kingereza kidogo ila issue ikachukuliwa na kukuzwa na kuwa kubwa, ila situmi skendo kutangaza muziki” .

Comments