NICKI MINAJ AJIACHIA NA MPENZI WAKE

Picture-211-300x300

Rapa Nicki Minaj amewapa mashabiki wake kitu cha kuongelea weekend hii baada ya kuweka picha akiwa na mpenzi wake Rapa Meek Mil huku Nicki Minaj akiwa na pete kubwa ya uchumba kwenye kidole cha kushoto cha Pete.
Revolt Tv imeripoti kuwa wapenzi hawa wanaweza kuwa wamevalishana pete za uchumba baada ya miezi miwili ya mapenzi yao.
minaj 2
minaj

Comments